Sunday, December 25, 2011

SIKUKUU YA KRISMASI 2011 YAFANA NA NURU FM KUTOA MISAADA KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA IRINGA

Meneja wa Nuru fm Victor Chakudika akizungumza na Mwanahabari Mcdonald Mollel Masse siku ya krismasi wakati akitoa msaada wa maziwa kwa kushirikiana na ASAS Iringa katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Upendo Centre kinachomilikiwa na shirika la IDYDC.

No comments:

Post a Comment