Sunday, December 25, 2011

Nyuma yao Sister Pilli ambaye ni doctor katika hospitali ya mkoa wa Iringa akiongozana na Mcdonald Mollel Masse mwenye red,Mahija Zayumba mwenye koti jeusi,Sagin Majura mwenye t-shirt ya misitari,Victor Chakudika wakwanza kushoto na mpiga picha hii Benny Mushiri hayupo pichani wakielekea wodini.

No comments:

Post a Comment